Mradi wa Mozilla wa Common Voice pamoja na Hekaya Arts utawatuza waandishi watatu bora wa fasihi za Kiswahili. Washindi hao watatu watatuzwa dola za Marekani 400, 250 na 100 mtawalia.
Shindano hili la uandishi ni mojawapo ya sehemu ya mradi wa Mozilla wa Common Voice unaolenga kueneza na kukuza data huria ya Kiswahili hivyo kuwezesha utumizi na ujumuishaji wa lugha za Kiafrika katika ujenzi wa technologia.
From a Science Fair in Mozilla Hubs to a Zine Fair in Spatial Chat, Mozilla Festival 2022 brought creativity and inspiration to the internet health community.
During MozFest 2022, Responsible Computer Science Challenge grantees came together to present their unique perspectives on building an interdisciplinary approach to responsible computing.
More than 40 Rwandan software developers and technology start-ups convened at the Digital Transformation Center in Kigali last weekend to create problem-solving applications using Mozilla’s new voice recognition software.
Mozilla’s first cohort of Senior Fellows in Trustworthy AI, and our newest Senior Fellow in Policy, are a formidable group drawn from various backgrounds and offering a diverse set of knowledge and skills.