MozFest ni mseto wa kipekee: mchanganyiko wa jamii za kisanaa, kiteknolojia na kijamii zinazokusanyika, tamasha ya kuwaleta wanaharakati kutoka nyanja mbalimbali za kimataifa zinazopigania hali bora na za kibinadamu katika ulimwengu wa kidijitali.
Kwa miaka mingi, MozFest imechochea harakati ili kuhakikisha kuwa mtandao unanufaisha wanadamu, badala ya kuwadhuru. Tunaendelea kuzingatia kazi yetu ya kujenga mtandao wenye afya na AI inayoaminika zaidi.
Jiunge na jumuiya ya afya ya mtandao kwa fursa hizi za kusisimua na matukio ambayo yanachunguza kile kinachohitajika kujenga mtandao bora.
Featured Sessions at MozFest House: Amsterdam
MozFest On-Demand
Relive MozFest 2023 with access to hundreds of inspiring On-Demand sessions. Secure your pay-what-you-can ticket today!
Featured Virtual Sessions

Gundua kitabu cha MozFest cha kushinda tuzo la vitabu bora ulimwenguni, sherehe ya muda wetu uliopita na ujao.
Majadiliano na mijadala yetu ya hivi karibuni
Katika dunia ambapo maendeleo yanahitajika zaidi kuliko hapo awali, hii ni nafasi yako ya kuwa sehemu ya suluhisho. Tazama mazungumzo haya yasiyosahaulika na Angela Davis, msomi maarufu duniani, mwandishi, na bingwa wa haki za binadamu, na Christian Smalls, mwanaharakati wa haki za wafanyakazi asiyeyumba na Rais wa Muungano wa Wafanyakazi wa Amazon, yaliyosimamiwa na makamu wa rais mwenye uzoefu wa shirikisho la Global Programs huko Mozilla, J. Bob Alotta.