Join us on Discord

Join Mozilla Festival on Discord and engage year-round with diverse global movements, collaborate on Trustworthy AI, and stay updated with exclusive news and events.

Join the Discord
a crowd of attendees at MozFest cheering

MozFest ni mseto wa kipekee: mchanganyiko wa jamii za kisanaa, kiteknolojia na kijamii zinazokusanyika, tamasha ya kuwaleta wanaharakati kutoka nyanja mbalimbali za kimataifa zinazopigania hali bora na za kibinadamu katika ulimwengu wa kidijitali.

Picha ya mtu akiwa ameketi na kompyuta yake ya mkononi kwenye ngazi za ukumbi wa MozFest House, kando yake kuna alama ya rangi ya machungwa na waridi iliyo na nembo ya MozFest House.

Vikao kwa mamia

Vipindi vya kina vinavyofundisha mazoea bora ya kulinda faragha, kutoa habari za suluhu za taarifa potofu na unyanyasaji mtandaoni, kuunda zana huria, kuunga mkono ubunifu wa AI (akili bandia ya programu za kompyuta) inayoaminika na mengine mengi.

Picha ya mduara wa ufunguzi wa MozFest, ikiwa na kundi kubwa la washiriki wote wakiwa wameinua mikono yao hewani wakishangilia kwenye jukwaa la mikutano ya video.

Washiriki kwa maelfu

Wasanii, wanaharakati, wanateknolojia, wabunifu, wanafunzi, na waandishi wa habari kutoka duniani kote wanahudhuria MozFest kila mwaka.

Picha ya mtu akiweka kijikaratasi cha mraba kwenye ubao, ambapo rangi ya kijikaratasi inaashiria ikiwa anaamini maamuzi yanayofanywa na mfumo wa AI.

Zaidi ya Nchi 145

MozFest inakaribisha wanaharakati kutoka Taipei, wasanidi programu kutoka Berlin, waelimishaji kutoka Nairobi, watafiti kutoka Brasilia, na wengine kutoka maeneo na wanaharakati kutoka duniani kote.

Kwa miaka mingi, MozFest imechochea harakati ili kuhakikisha kuwa mtandao unanufaisha wanadamu, badala ya kuwadhuru. Tunaendelea kuzingatia kazi yetu ya kujenga mtandao wenye afya na AI inayoaminika zaidi.


Jiunge na jumuiya ya afya ya mtandao kwa fursa hizi za kusisimua na matukio ambayo yanachunguza kile kinachohitajika kujenga mtandao bora.

Featured Sessions at MozFest House: Kenya

African Feminism in Big Social Data: Why We Must Advance Radical Care in Digital Activism Engagement

African feminists are adopting radical caring as communal and self-represented resistance against various challenges, from backlash to state repression. However, today’s digital landscape has introduced new complexities. Artificial intelligence technologies create contexts from user data, and marketing strategies are fueling online mobs, creating challenges for activists striving to voice concerns and nurture digital communities.

Kiswahili: Indigenous languages as tools of Inclusivity

This session will involve a history of the standardization of Kiswahili, taking a look at how colonial powers used the language to their advantage and how the (standardized) language grew and in other instances killed Kiswahili dialects.

African perspectives on shaping safety and wellbeing of children in digital spaces

This session seeks to open up and spark conversations about localized and contextualized approaches to studying and strategies for understanding the impact of digital media on young people in Africa, from African practitioners, researchers, policymakers, activists and scholars.

Decoding Digital Labor: How tech giants replicate the extractive practices of their corporate forefathers

The promise of technology to create job opportunities, in developing countries, beyond physical geographical boundaries has hidden unfair labour treatments. The absence of labour market regulatory frameworks in some countries in Africa to address the special conditions of digitally enabled new forms of work, the rise of non-standard employment, a phenomenon rooted in labour market deregulation, is being exacerbated by digital transformation.

Harmonizing the Waves: Navigating AI's Impact on African Podcasting

In recent years, AI has experienced an explosive surge in popularity, largely driven by breakthroughs like the revolutionary large language models (LLMs) such as ChatGPT. Simultaneously, podcasting has emerged as a formidable medium for creative expression and cultural representation, particularly amid and post the COVID-19 pandemic. This session will explore the possible impacts of AI, both positive and negative, on an industry that gives voice to marginalized communities.

Ikoni ya jalada la kitabu

Gundua kitabu cha MozFest cha kushinda tuzo la vitabu bora ulimwenguni, sherehe ya muda wetu uliopita na ujao.

Majadiliano na mijadala yetu ya hivi karibuni

Katika dunia ambapo maendeleo yanahitajika zaidi kuliko hapo awali, hii ni nafasi yako ya kuwa sehemu ya suluhisho. Tazama mazungumzo haya yasiyosahaulika na Angela Davis, msomi maarufu duniani, mwandishi, na bingwa wa haki za binadamu, na Christian Smalls, mwanaharakati wa haki za wafanyakazi asiyeyumba na Rais wa Muungano wa Wafanyakazi wa Amazon, yaliyosimamiwa na makamu wa rais mwenye uzoefu wa shirikisho la Global Programs huko Mozilla, J. Bob Alotta.